Description
Urafiki wa dhati ni jambo jema. Hung’aa sana na hufaa japo wakati mwingine urafiki hukumbwa na unafiki. Mbwa na mbuzi walikuwa marafiki wa muda mrefu ila tu, mbuzi! Alimtendea mbwa ubaya.
Je, ulikuwa ni ubaya upi? Ungana na Profesa Kobia kujua ubaya wa mbuzi katika hadithi hii.
Vitabu vingine vya hadithi vinavyochapishwa na KLB katika kiwango hiki ni;
- Sungura Mpanda Ngazi
- Shujaa Heshima
- Kisa cha Farasi
- Kusema Ukweli
- Hongera Mwanangu!
- Kiswahili Gani!
Reviews
There are no reviews yet.