Hatosheki

Tamthilia ya Hatosheki inawahusu vijana kama Hatosheki na Simageni wanaovaliwa na ujana, anasa, starehe na uozo wakiwa katika vyuo vya ngazi za juu masomoni. Badala ya kuwajibikia masomo yaliyowapeleka vyuoni, wanaganda kwenye mapenzi ya kipofu na anasa za kupindukia hata wakaishia

kufakamiwa na ugonjwa wa Ukimwi. Mintarafu ya ufuska wao, wanabuni mnyororo mrefu wa watu wanaoambukizwa ugonjwa huu ndani na nje ya chuo. Je, watu kama Hatosheki na Simageni wana nafasi gani katika jamii zetu? Je, wanajamii walio katika ndoa nje ya vyuo wana athari gani kwa wanafunzi vyuoni? Sasa baada ya mausio haya yote na kampeni nyingi za kukabiliana na ugonjwa wa Ukimwi katika jamii, nini ambacho jamii inaweza kudai kujifunza?

KSh353.00

Book:ebook

Facebook
Twitter
LinkedIn

Hatosheki

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Hatosheki”

Your email address will not be published. Required fields are marked *