Description
NGUGI WA THIONG’O alizaliwa mwaka wa1938 Limuru, na alisomea Kenya na Chuo Kikuu cha Makerere huko Uganda, na baadaye akaingia Chuo Kikuu cha Leeds, Uingereza.
Alipokuwa Makerere, aliandika hadithi hizi: Weep Not, Child na The River Between. Alipokuwa chuo kikuu huko Leeds, aliandika hadithi ya A Grain of Wheat.
The Trial of Dedan Kimathi (Mashtaka ya Oedan Kimathi) ni moja katika maandishi yake mapya ambayo ameyaandika pamoja na Dr. Micere Mugo. The Trial of Dedan Kimathi ulikuwa mchezo wa mwaka katika mwaka 1976.
Ngugi wa Thiong’o sasa ni mwenyekiti katika Taasisi ya uandishi (Literature Department) ya Chuo Kikuu cha Nairobi
Reviews
There are no reviews yet.