Kisa Cha Mrina Asali Na Wenzake Wawili

Kisa cha ‘Mrina asali na wenzake wawili’ ni cha kuvutia sana. Hadithii hii inasimulia kisa cha vijana watatu ambao waliamua kuondoka kwao na kwenda porini ili kutafuta asali ambayo ingewanufaisha kiuchumi.

Katika safari yao walikumbwa na hatari nyingi. Wawili kati yao waliuawa na Wanyama wakali. Ni Mauya pekee aliyeokoka na kurudi nyumbani ambapo aliwafunza wenzake maarifa aliyoyapata safarini. Kitabu hiki kina mashairi na picha za kuvutia. Ni hadithi yenye mafunzo ya manufaa na mifano ya ujasiri mkubwa. Bilas haka kitawafaa wanafunzi na wasomaji wengine.

Diwani ya Mnyampala na Waadhi wa Ushairi ni baadhi ya vitabu vinginevyo alivyoandika mwandishi Mathias Mnyampala.

KSh 201.00

Book:ebook

Share on facebook
Facebook
Share on twitter
Twitter
Share on linkedin
LinkedIn

Kisa Cha Mrina Asali Na Wenzake Wawili

Description

Kisa cha ‘Mrina asali na wenzake wawili’ ni cha kuvutia sana. Hadithii hii inasimulia kisa cha vijana watatu ambao waliamua kuondoka kwao na kwenda porini ili kutafuta asali ambayo ingewanufaisha kiuchumi.

Katika safari yao walikumbwa na hatari nyingi. Wawili kati yao waliuawa na Wanyama wakali. Ni Mauya pekee aliyeokoka na kurudi nyumbani ambapo aliwafunza wenzake maarifa aliyoyapata safarini. Kitabu hiki kina mashairi na picha za kuvutia. Ni hadithi yenye mafunzo ya manufaa na mifano ya ujasiri mkubwa. Bilas haka kitawafaa wanafunzi na wasomaji wengine.

Diwani ya Mnyampala na Waadhi wa Ushairi ni baadhi ya vitabu vinginevyo alivyoandika mwandishi Mathias Mnyampala.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kisa Cha Mrina Asali Na Wenzake Wawili”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KlbApp

FREE
VIEW