Description
Kiswahili ni kati ya lugha saba muhimu ulimwenguni. Takribani watu milioni 100 wanaizungumza lugha ya Kiswahili ulimwenguni. Mbali na hayo, lugha hii imekubaliwa kama lugha mojawapo ya mawasiliano katika mikutano ya Jumuia ya Afrika. Utafiti unaendelea kuhusu lugha hii katika vyuo vingi ulimwenguni.
Reviews
There are no reviews yet.