Mbegu Za Chuki

KSh318.00

Book:ebook

Facebook
Twitter
LinkedIn

Mbegu Za Chuki

Description

Nimetunga hadithi hii baada ya kuhojiana no wasomaji maarufu wapendao hadithi za Kiswahili, kuhusu hadithi wapendazo kusoma ambazo hazijawahi kuchapishwa.

Wasomasji hao, ambao ni wenye umri wa zaidi ya miaka kumi no mitano waliniambia kuwa “tunapenda hadithi zinazohusu maisha ya kisasa, mbali no hadithi za kizamani za akina sungura, fisi, mzee kobe, n.k.”

Nilipowahoji zaidi kuhusu mfano wa hadithi wanazopenda ziandikwe kama kumbukumbu kwa vizazi vijao, wakataja, “hadithi kuhusu maisha ya watu maskini wapatao riziki zoo kwa taabu, matatizo wapatayo wafanyapo shughuli hizo, maskini wapeanavyo mlungula kwa polisi no mambo kuhusu mashtaka yanayowakabili maskini hao pamoja no polisi wapatikanao wakipokea mlungula n.k.” Yote haya yamo katika mfululizo huu wa hadithi.

Kumbuka hadithi hii inawafaa wasomaji wanaopendelea hadithi, hasa wanafunzi wa darasa la sita hadi la none.

Additional information

License

3 year Licence

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mbegu Za Chuki”

Your email address will not be published. Required fields are marked *