Description
Endapo huna mazoea ya kuhusiana na wanyama huenda ukajikuzia woga. Woga usiotathminiwa. Jemo katika hadithi hii, ni mtoto wa darasa la pili. Anakuonyesha kuwa woga haufai. Anaazimia sana kumkuza mbwa. Anamwomba baba amnunulie mbwa. Mbwa ana manufaa. Ungana na Jemo katika hadithi hii ili kujigundulia manufaa ya mbwa.
Vitabu vingine vya hadithi vinavyochapishwa na KLB kwa kiwango hiki ni;
- Pendo na Tendo
- Kusema Ukweli
- Musa na Sara
- Asiyesikia la Mkuu
- Sungura Mpanda Ngazi
Reviews
There are no reviews yet.