Simu ya Kifo

Mzee Jacob anakufa kutokana na sigara iliyotiwa sumu… Siku chache baadaye, bintiye Mary anapigwa risasi… Fambo anamjulisha lnspekta Wingo kuhusu vifo hivi. Lakini ni nani huyu Fambo? Kuna uhusiano wowote baina ya vifo hivi na Fambo?

Simu ya Kifo ni kisa cha upelelezi ambacho taharuki iliyomo itamtia msomaji kiwewe na ari ya kufika hatima!

KSh 341.00

Book:ebook

Share on facebook
Facebook
Share on twitter
Twitter
Share on linkedin
LinkedIn

Simu ya Kifo

Description

Mzee Jacob anakufa kutokana na sigara iliyotiwa sumu… Siku chache baadaye, bintiye Mary anapigwa risasi… Fambo anamjulisha lnspekta Wingo kuhusu vifo hivi. Lakini ni nani huyu Fambo? Kuna uhusiano wowote baina ya vifo hivi na Fambo?

Simu ya Kifo ni kisa cha upelelezi ambacho taharuki iliyomo itamtia msomaji kiwewe na ari ya kufika hatima!

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Simu ya Kifo”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KlbApp

FREE
VIEW