Cha Moyoni Mwako Kitesiri

Edward Hinga alizaliwa Ndeiya, Kenya, mnamo mwaka 1941. Alipata mafunzo yake ya kwanza katika Nderu Full Primary School, kisha baadaye akaenda Kilima-Mbogo Teachers’ college, ambako alisomea uwalimu. Wakati alipokuwa bado ni mwanafunzi katika Kilima-Mbogo, alianza kuandika kitabu chakekiitwacho Out of the Jugle, kinachoeleza Maisha yake ambacho kimetolewa na watoaji vitabu wa mumu humu nchini. Sasa ni Mwalimu Mkuu (Headmaster) wa shule ya Ndeiya. Cha Moyoni Mwako Kisetiri ni tafsiri ya Sincerity Divorced.

KSh253.00

Book:ebook

Facebook
Twitter
LinkedIn

Cha Moyoni Mwako Kitesiri

Description

Edward Hinga alizaliwa Ndeiya, Kenya, mnamo mwaka 1941. Alipata mafunzo yake ya kwanza katika Nderu Full Primary School, kisha baadaye akaenda Kilima-Mbogo Teachers’ college, ambako alisomea uwalimu. Wakati alipokuwa bado ni mwanafunzi katika Kilima-Mbogo, alianza kuandika kitabu chakekiitwacho Out of the Jugle, kinachoeleza Maisha yake ambacho kimetolewa na watoaji vitabu wa mumu humu nchini. Sasa ni Mwalimu Mkuu (Headmaster) wa shule ya Ndeiya. Cha Moyoni Mwako Kisetiri ni tafsiri ya Sincerity Divorced.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Cha Moyoni Mwako Kitesiri”

Your email address will not be published. Required fields are marked *