Hadithi Za Furaha Kitabu Cha 4

Hiki ni kitabu cha nne na cha mwisho katika mfululizo wa vitabu vya hadithi unaoitwa Hadithi za Furaha.

Vitabu hivi vimedhamiriwa kutumiwa na wanafunzi wa madarasa ya nne hadi ya nane katika shule za msingi. Usomaji ni mojawapo wa njia muhimu sana ya kujifunza lugha yoyote. Hadithi zilizomo zimechaguliwa na kutayarishwa ili kutimiza mahitaji ya wanafunzi wa viwango hivi. Baadhi ya mahitaji hayo ni kuinua kiwango cha wasomaji cha ujuzi wa lugha na uwezo wao wa kusoma na kufahamu.

KSh385.00

Book:ebook

Facebook
Twitter
LinkedIn

Hadithi Za Furaha Kitabu Cha 4

Description

Hiki ni kitabu cha nne na cha mwisho katika mfululizo wa vitabu vya hadithi unaoitwa Hadithi za Furaha.

Vitabu hivi vimedhamiriwa kutumiwa na wanafunzi wa madarasa ya nne hadi ya nane katika shule za msingi. Usomaji ni mojawapo wa njia muhimu sana ya kujifunza lugha yoyote. Hadithi zilizomo zimechaguliwa na kutayarishwa ili kutimiza mahitaji ya wanafunzi wa viwango hivi. Baadhi ya mahitaji hayo ni kuinua kiwango cha wasomaji cha ujuzi wa lugha na uwezo wao wa kusoma na kufahamu.

Isitoshe, vitabu hivi vimekusudiwa pia kuimarisha maadili ya wasomaji kama vile kuwa na bidii, uaminifu, mapenzi, utiifu, unyenyekevu na kadhalika. Hadithi zote zimetungwa kwa njia ya kuwavutia na kuwapendeza  wasomaji licha ya kuwapa mafunzo yafaayo. Pamoja na wanafunzi wa viwango mbalimbali, mfululizo wa Hadithi za Furaha utawafaa wasomaji wa madarasa ya watu wazima na wengineo.

Mwandishi, Kitula G. King’ei ambaye ni mwalimu wa Kiswahili, amewahi kuchapisha vitabu kadha vya somo la Kiswahili.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Hadithi Za Furaha Kitabu Cha 4”

Your email address will not be published. Required fields are marked *