Mwanambuzi Mee Mee

Miranda ni msichana ambaye alitamani sana kuwatembelea nyanya na babu. Alipenda mazingira ya mashambani. Alipenda hewa safi. Alipenda nafasi kubwa ya kuchezea. Alitamani kumsaidia nyanya kufanya kazi.

Je, safari aliyofunga na babake wakati wa likizo ilimpa haya yote? Ungana na msimulizi ili kupata habari zaidi.

KSh194.00

Book:ebook

Facebook
Twitter
LinkedIn

Mwanambuzi Mee Mee

Description

Miranda ni msichana ambaye alitamani sana kuwatembelea nyanya na babu. Alipenda mazingira ya mashambani. Alipenda hewa safi. Alipenda nafasi kubwa ya kuchezea. Alitamani kumsaidia nyanya kufanya kazi.

Je, safari aliyofunga na babake wakati wa likizo ilimpa haya yote? Ungana na msimulizi ili kupata habari zaidi.

Vitabu vingine vya hadithi vinavyochapishwa na KLB kwa kiwango hiki ni;

  • Naomba Unisamehe
  • Pendo na Tendo
  • Kusema Ukweli
  • Kipepeo Mrembo
  • Urafiki wa Chanda na Pete

Additional information

License

3 year Licence

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mwanambuzi Mee Mee”

Your email address will not be published. Required fields are marked *