Taabu Taabani

Jamii ina mtazamo wake kuhusu wana. Mtazamo huu huathiri mawazo ya wanaoishi ndani yake. Hivyo ndivyo alivyokuwa mamake Taabu, lazima, lazima mtoto wa kike! Haya, Taabu akatokea–wa kiume, changamoto zikamkumba.Tena si haba. Akajipa moyo.

Ungana na mwandishi katika hadithi hii ili kujisomea jinsi yalivyokuwa maisha ya Taabu. Je,Taabu aliishia taabani?

KSh207.00

Book:ebook

Facebook
Twitter
LinkedIn

Taabu Taabani

Description

Jamii ina mtazamo wake kuhusu wana. Mtazamo huu huathiri mawazo ya wanaoishi ndani yake. Hivyo ndivyo alivyokuwa mamake Taabu, lazima, lazima mtoto wa kike! Haya, Taabu akatokea–wa kiume, changamoto zikamkumba.Tena si haba. Akajipa moyo.

Ungana na mwandishi katika hadithi hii ili kujisomea jinsi yalivyokuwa maisha ya Taabu. Je,Taabu aliishia taabani?

Vitabu vingine vya hadithi vinavyochapishwa na KLB kwa kiwango hiki ni:

  • Sungura mpanda Ngazi
  • Maisha ya Shujaa Heshima
  • Asiyesikia la Mkuu . . .
  • Kasuku wa Sofi
  • Kisa cha Farasi
  • Musa na Sara
  • Hongera Mwanangu

Additional information

License

3 year Licence

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Taabu Taabani”

Your email address will not be published. Required fields are marked *